Posted on: July 27th, 2022
Wataalamu kutoka TAMISEMI wametembelea na kukagua miradi ya Afya na Elimu inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa.
Ziara hiyo imefanyika leo tarehe 27/06/20...
Posted on: July 24th, 2022
Mkuu wa Mkoa ya Lindi Mhe. Zainabu Telack amesisitiza watumishi kufanya kazi kwa kushirikiana ili kufika malengo ya kuwahudumia wananchi kwa kufuata kanuni na taratibu.
Amesema hayo wakati wa kikao...
Posted on: June 17th, 2022
Mwalimu Uzima Justine ameshauri serikali za vijiji kubuni vyanzo vya mapato ya kijiji ili viweze kuwasaidia katika kuanzisha na kuendeleza miradi katika maeneo yao.
Alisema "kuwa na vyanzo vya mapa...