Posted on: May 6th, 2023
Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi imepokea 965,900,000/= Milioni mia tisa na sitini na tano na laki tisa, kutoka Serikali kuu kupitia mradi wa kuboresha upatikanaji wa fursa sawa katika uj...
Posted on: March 31st, 2023
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi pikipiki 100 zenye thamani ya sh. milioni 260 kwa vijana wa wilaya ya Ruangwa ili wazitumie kufanya biashara ya usafirishaji.
Akizungumza na vijana wa Ruangwa...
Posted on: March 31st, 2023
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inakuja na mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya sh. bilioni 119 ambao utahudumia vijiji 34 vya wilaya ya Ruangwa na 21 vya wilaya ya Nachingwea mkoani Lin...