Posted on: July 8th, 2022
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Julai 08, 2022 amekabidhi mikopo yenye jumla ya shilingi, 256,158,000 iliyotolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa katika mwaka wa fedha 2021/2022 kwa vikundi 27 vye...
Posted on: July 4th, 2022
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya shilingi bilioni mbili kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya ma...
Posted on: July 2nd, 2022
Afisa anayesimamia Mradi wa uzalishaji mkaa kwa kutumia Teknolojia iliyoboreshwa Ndg. Othman Lugendo ametoa wito kwa washiriki wa mafunzo ya uchomaji mkaa na upasuaji mbao kufuata taratib...