Posted on: March 5th, 2018
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua mradi wa usambazaji maji kwenye vijiji vinavyopitiwa na mradi wa maji ya Mbwinji na ameridhishwa na unavyoendelea.
Mradi huo unaosimamiwa na mamlaka ya maji na ...
Posted on: March 3rd, 2018
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa ufuta katika mikoa inayolima zao hilo nchini kuuza kwa kutumia njia ya minada na si mashambani.
Ametoa agizo hilo leo Machi 03, 2018 wakati akizung...
Posted on: March 1st, 2018
Changamoto ya upatikanaji wa huduma za afya iliyokuwa inawakabili wakazi wa kijiji cha Mbecha kata ya Nanganga imekuwa historia baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa ...