Posted on: July 20th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa kutenga asilimia kumi ya kila mapato yake kabla ya matumizi kwa ajili ya kuwakopesha wanawake na vijana.
...
Posted on: July 19th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mheshimiwa Godfrey Zambi amewataka Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa kufuatilia kwa ukaribu utendaji kazi wa Wataalamu wa Halmashauri hiyo.
Waheshimiwa madiwani mn...
Posted on: July 16th, 2018
Wananchi Wilayani Ruangwa Mkoani Lindi wameipongeza serikali ya awamu tano kwa maamuzi yake ya kuwaondolea tatizo la upatikanaji wa huduma za afya za uhakika hasa maeneo ya vijijini kwa kuanzisha ujen...