• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Mifugo na Uvuvi

     

                                                                                                                 Kaimu Mkuu wa Idara ya Mifugo na Uvuvi Salimu Msangi

     


1.0 UTANGULIZI

Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa ni moja kati ya halmashauri 6 za mkoa wa Lindi, Halimashauri zingine ni Kilwa, Lindi Manispaa, Lindi vijijini, Liwale na Nachingwea. Kiuchumi Halmashauri hutegemea sana katika kilimo na ufugaji. Mifugo inayofugwa ni pamoja na Ng’ombe, Mbuzi, Kondoo, Nguruwe, Kuku, na Bata.

2:0. HALI YA WATUMISHI.

Idara ya mifugo na uvuvi ina jumla ya watumishi 19 kwa sasa. Mtumishi 1 yupo makao makuu ya Wilaya, 1 yuko masomoni na watumishi 17 wapo katika ngazi ya kata na vijiji. 

 

Jedwali Na.1. Idadi ya watumishi wa sekta ya mifugo Wilayani

Cadre
Wilayani 
Nachingwea
Ruangwa
Mandarawe
Matambaralee
Likunja
Chienjere
Nkowe
Malolo
Chinongwe
Mnacho
Mandawa
Nambilanje
Nanganga
Luchelegwa
 Jumla
Daktari wa mifugo
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
Afisa mifugo
1
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
1
Afisa mifugo msaidizi
0
3
2
1
1
1
1
1
1
1
1
1
1
1
2
18
Wahudumu wa mifugo
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
0
JUMLA
1
1
2
1
1
1
1
1
1
1
1
1
1
1
2
19

 

3.0. IDADI YA MIFUGO

Ufugaji ni moja ya shughuli za kiuchumi ambazo hufanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa. Mifugoambayo hufugwa kwa wingi ni pamoja na Ng’ombe, Mbuzi, Kondoo kuku, bata, nguruwe, mbwa na paka.

Jedwali na. 2: Idadi ya mifugo Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

Kata

Aina ya mifugo

 

 

Ng’ombe

Mbuzi

Kondoo

Kuku


Luchelegwa

191

714

97

13,921


Chinongwe

757

660

99

12341


Chienjele

102

347

87

11,177


Mnacho

241

1095

135

11,131


Nandagala

82

830

119

12,811


Malolo

387

643

67

10,131


Nanganga

219

556

65

10,415


Nkowe

115

304

35

10,731


Ruangwa

137

95

0

9,314



Chunyu

8

336

46

8,342

Mandawa

0

514

76

11,363

Nambilanje

1314

488

473

11,131


Chibula

1

417

42

9,319


Matambarare

9

468

51

9,121


Mbekenyera

147

922

142

9,973



Namichiga

21

312

71

9,213


Mandarawe

108

267

19

10,183


Nachingwea

139

82

0

7,312


Makanjiro

55

940

0

7,189


Narungombe

40

89

11

8,313


Mbwemkuru

9

113

7

7,131


Likunja

172

326

42

13,131


Jumla

4254

10,468

1,349

223,693 









 

 

 

 

 

 

3.0. Mifugo mingine

Jedwali Na.3: Mifugo mingine

Kata

Aina ya mifugo

Nguruwe

Bata

Sungura

Kanga

Punda

Mbwa

Paka

Luchelegwa

47

254

0

47

0

102

30

Chinongwe

182

395

0

56

0

118

45

Chienjele

340

365

0

70

0

159

20

Mnacho

128

456

0

116

0

52

15

Nandagala

212

461

0

88

0

66

52

Malolo

168

421

0

93

0

151

27

Nanganga

52

434

0

139

0

62

8

Nkowe

72

401

0

77

0

48

23

Ruangwa

1

612

13

172

0

56

31

Chunyu

30

389

0

61

0

65

10

Mandawa

20

331

0

75

0

106

18

Nambilanje

0

421

0

89

17

173

28

Chibula

0

394

0

65

0

106

12

Matambarare

0

365

0

65

0

116

12

Mbekenyera

24

523

0

146

0

130

44

Namichiga

0

365

0

65

0

38

3

Mandarawe

0

385

0

70

0

66

26

Nachingwea

13

543

0

129

0

62

15

Makanjiro

20

561

10

137

0

72

12

Narungombe

0

432

0

62

0

56

14

Mbwemkuru

0

467

0

41

0

93

9

Likunja

94

472

0

107

0

106

46

Jumla

1,184

9,436

23

1,947

17

2,003

500

 

 

4.0. MAGONJWA YA MIFUGO.

Magonjwa ya mifugo ni moja ya changamoto ambazo hujitokeza hasa katika kuiendeleza sekta ya mifugo Wilayani. Jedwali chini linaonyesha aina ya magonjwa yalijojitokeza kwa kipindi cha mwaka 2017/2018.

Jedwali Na 4. Matukio ya magonjwa ya mifugo mwaka 2017/2018

Aina ya mifugo
Aina ya ugonjwa
Idadi ya mifugo waliougua
Vifo
Ng’ombe
Helminthosis
3682
0
Mastitis
67
0
Anaplasmosis
329
0
FMD
0
1
Mange
856
0
Mbuzi
Helminthosisi
643
0
Heart water
2
1
Peumonia
7
0
Kuku
Helminthosisi
17017
52
Coccidiosis
2395
25
Fowl Pox
3453
33
Salmonelosis
9845
219
Typhoid
6393
143
Infection coryza
3593
387
Nguruwe
Helminthosis
75
0

Pneumonea
81
9
Mbwa
Helminthosis
1
0
Mange
4
0
Jumla
48443
870

 

Mikakati ya kudhibiti magonjwa mbali mbali ya mifugo

  • Kutoa ushauri na elimu kwa wafugaji juu ya tiba, kinga na uogeshaji wa mifugo yao kwa kufuata ratiba.
  • Wataalamu waliopo kuendelea kuelemisha wafugaji na kuhamasisha wafugaji kulipia huduma za tiba na chanjo kwani huduma hiyo sasa iko chini ya sekta binafsi.

Kufuata ratiba za chanjo ya mifugo katika kipindi chote cha mwaka

 

5.0. Upatikanaji wa dawa.

 

Katika kipindi cha mwaka 2008/2009 hadi 2010/2011 Halmashauri ilipokea dawa za ruzuku kutoka serikali kuu, kwa miaka mingine iliyofuata serikali haikutoa dawa za ruzuku. Kwa sasa dawa za mifugo zinapatikana kwenye maduka ya pembejeo za mifugo, wafugaji ndio whuchangia gharama za ununuzi wa dawa wakati wa kuhudumia mifugo yao.

 

 Jedwali Na.5: Aina ya dawa za ruzuku zilizogawiwa

 

MWAKA

AINA YA DAWA YA KUOGESHA MIFUGO UJAZO NA LITA

Aina

Ujazo(mls)

Lita

2008/2009
CYBADIP
1000
459
2010/2011
CYBADIP
100
341
2011/2012
CYBADIP
0
0
2013/2014

0
0
2015/2016

0
0
2017/2018

0
0
JUMLA


800






6.0. ENEO LILILOTENGWA KWA AJILI YA MALISHO. 

Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa ina eneo lenye ukubwa wa kilometa za mraba 2,560 (2,560KM2) ambalo ni sawa na Hecta 2,560.36 (256,036Ha). Wilaya ina jumla ya vijiji 90 kati ya vijiji hivyo ni vijiji 10 ambavyo tayari vimefanyiwa mpango wa matumizi bora ya ardhi na vijiji 80 bado havijafanyiwa. Vijiji vilivyotenga maeneo ya ufugaji ni vijiji 4 kati ya vijiji 10 ambavyo tayari vimefanya mpango wa matumizi bora ya ardhi. Vijiji vilivyotenga maeneo ya ufugaji ni;

  • Kijiji cha Nandenje 110.41 hekta.
  • Kijiji cha Nkowe 90.04 hekta.
  • Kijiji cha Mondo 20.04 hekta.
  • Kijiji cha Lichwachwa 17.40 hekta.

Kwa ujumla Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa imetenga eneo la malisho lenye ukubwa wa jumla ya hekta 237.89.

 7.0.Kupiga chapa ng’ombe

zoezi la upigaji chapa na utambuzi kwa Ng’ombe lilianza rasmi mnamo tarehe 06/01/2018 katika wilaya nzima, Jumla ya ng’ombe 3,157 walipigwa chapa na kurekodiwa/ kutambuliwa, aidha zoezi linaendele kufanyika kwa ng’ombe ambao wanafikia sifa za kupigwa chapa ikiwa pamoja na umri wa kuanzia miezi sita.

 

Jedwali Na. 7: Idadiya ng’ombe waliopigwa chapa.

 

KATA 
Idadi ya mifugo
Mifugo iliyopigwa chapa
Mifugo isiyopigwa chapa
% ya mifugo iliyopigwa chapa
Idadi ya mifugo iliyowekwa alama ya utambuzi (Treceability)
CHIBULA
1
1
0
100
1
CHIENJERE
102
81
21
79.4
81
CHINONGWE
757
561
196
74.1
561
CHUNYU
9
8
1
88.9
9
LIKUNJA
172
168
4
97.7
168
LUCHELEGWA
191
161
30
84.3
161
MAKANJIRO
55
52
3
94.5
52
MALOLO
387
273
114
70.5
273
MANDARAWE
108
93
15
86.1
93
MATAMBARALE
9
9
0
100
9
MBEKENYERA
147
115
32
78.2
115
MNACHO
241
211
30
87.6
211
NACHINGWEA
139
94
45
67.6
94
NAMBILANJE
1314
818
496
62.3
818
NAMICHIGA
21
19
2
90.5
19
NANDAGALA
82
66
16
80.5
66
NANGANGA
219
172
47
78.5
172
NARUNGOMBE
40
37
3
92.5
37
Mbwemkuru
9
9
0
100
9
NKOWE
115
104
11
90.4
104
RUANGWA
137
104
33
75.9
104
 Jumla
 4,254 
 3,157 
1,099
74.2
 3,157 


                                                                   KARIBU MWANANCHI IDARA YA MIFUGO



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA November 08, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA 872 KWA NGAZI YA JAMII HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA July 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA August 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • SMAUJATA YAENDESHA ELIMU DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA KWA WASICHANA RUANGWA

    May 09, 2025
  • BURIANI

    May 07, 2025
  • MHE. MAJALIWA AAINISHA MAFANIKIO MAKUBWA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO RUANGWA CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    May 03, 2025
  • WANANCHI WA KIJIJI CHA MPARA WAFANYA USAFI KUJIANDAA NA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU

    May 03, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa