Posted on: July 9th, 2024
Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa Kushirikiana na Ofisi ya Rais ,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetoa nafasi 872 kwa wananchi watakaowania nafasi ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii...
Posted on: July 8th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa amefungua mafunzo ya Mtaala mpya kwa shule za Sekondari Elimu ya Juu (Curricullum for Upper Secondary Education) leo Julai 8, 2024 katika Ukumbi...
Posted on: July 8th, 2024
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mbekenyera iliyopo Kata ya Mbekenyera wilayani Ruangwa Answabu Abdallah Maloi (13) ametoa wito kwa wazazi na walezi kutowakataza watoto wao kuonesha na kukuza vipaji vyao...