Posted on: October 18th, 2017
Mwenyekiti wa Halmashauri, Mheshimiwa Rashidi Nakumbya ameiagiza serikali ya Kijiji cha Mitope kuwachukulia hatua wafugaji wa ng’ombe wa maziwa wanaouza ng’ombe waliopata kupitia mradi wa kopa ng’ombe...
Posted on: October 17th, 2017
Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango imemtaka fundi uashi aliyejenga mabweni katika shule ya sekondari Nkowe afanye marekebisho ya frem za milango alizoziweka katika mabweni mapya yanayojengwa katika s...
Posted on: October 6th, 2017
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Hamisi Kigwangala ameuangiza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa kumalizia chumba cha upasuaji cha Kituo cha Afya Mandawa kwa m...