Posted on: April 29th, 2019
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa na wakuu wa idara wamezindua program ya kuendeleza mnyororo wa thamani wa mazao ya misitu.
Yusta bonface Akiwasilisha mada mbele ya Madiwani na wakuu wa...
Posted on: April 29th, 2019
Baraza la waheshimiwa madiwani Wilayani Ruangwa limeitaka Halmashauri hiyo kuunda sheria ndogo zinazowabana wakulima wanaofanya kilimo cha kuhamahama.
Pia wamewataka viongozi wa dini kuendelea kuto...
Posted on: April 24th, 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa kupiti Idara ya Afya itaendesha zoezi la utoaji wa dawa za tiba na kinga kwa magonjwa ya Minyoo tumbo na Kichocho kwa watoto walioko shule za msingi zilizopo katika Ha...