(1)UJENZI WA KIWANJA CHA MPIRA
Eneo lilishapatikana na kufanyiwa usafi na sasa Mchoro ya uwanja imekamilika na kazi ya kufanya usawazo(Leveing) na kushindilia eneo la kuchezea(pitch ground) kwa ajili ya kupanda nyasi inaendelea.
Fedha izilizoidhinishwa 20,000,000 na kazi inafanywa na Mkandarasi Wanyumbani Construction
(2)UJENZI WA JENGO LA UTAWALA CHINONGWE
Ujenzi huu ulianza kwa nguvu za wananchi na Halmashauri kusaidia kumliza. Kiasi cha Fedha kilichoidhinishwa ni 15,000,000
kazi za upigaji plasta, kuweka milango na madirisha zinaendelea, ujenzi wa jengo hili lipo katika hatua za umaliziaji.
Kazi hii inatarajiwa kukamilika robo ya tatu ya mwaka 2017/2018
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa