Kuanzishwa
Wilaya ya ruangwa imeanzishwa mnamo mwaka 1995 wakati wa Raisi wa awamu ya pili Ally Hassani Mwinyi, Nakuzinduliwa Rasmi mwaka 1999 wakati wa Raisi wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa.
Wilaya ya Ruangwa ni moja ya wilaya iliyokuwemo ndani ya mkoa wa Lindi ina kilometa 150 kutokea mkoani Lindi, inavijiji 90 inakata 22 na Vitongoji 435.
IDADI YA WATU
Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, Wilaya inakadiriwa kuwa na jumla ya Wakazi 185,573 wakiwemo wanaume 91,469 na wanawake 94,104. Halmashauri ina jumla ya Kaya 60,931 zenye wastani wa Watu 3 kwa kila kaya.
UCHUMI WA WILAYA
Shughuli kuu za uchumi kwa wakazi wilayani ni kilimo ambacho huajiri asilimia 80 ya wakazi wote.
Mazao yanayolimwa kwa matumizi ya chakula ni;
Kwa upande wa biashara mazao yanayolimwa ni;
Shughuli nyingine za kiuchumi ni;
FURSA ZA UWEKEZAJI NI PAMOJA NA MIUNDOMBINU YA;
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa