Posted on: December 16th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe, Hashimu Mgandilwa amewataka viongozi wa vijiji kusimamia zoezi la upelekeaji maji na usombaji mchanga katika maeneo madarasa mapya yanajengwa kwa ajili ya wanafunzi ...
Posted on: December 15th, 2020
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Albert Mwombeki amepokea msaada wa vifaa vya walemavu kutoka katika Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC).
Amepokea vifaa hivyo tarehe 15/12...
Posted on: December 4th, 2020
Mwenyekiti mteule wa Halmashauri ya Wilaya Ruangwa Mkoani Lindi, Andrea Chikongwe ambae ni Diwani wa Kata ya Nandagala, amewataka Madiwani na Menejimenti ya Halmashauri hiyo kuhakikisha wanas...