Posted on: July 28th, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Ndugu Frank Fabian Chonya, amezindua rasmi Jarida la Afya la Wilaya hiyo leo Julai 28, 2025, katika hafla iliyofanyika Ruangwa Pride Hotel.
...
Posted on: July 27th, 2025
Timu ya ASHALONGO FC ya Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa imeibuka kidedea kwa penalti 6–5 dhidi ya Timu ya Afya FC baada ya sare ya 2–2, katika Bonanza la Siku ya Afya lililofanyika Majaliwa Stadium l...
Posted on: July 27th, 2025
Tukutane Nane Nane Kanda ya Kusini, katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
karibu ujifunze Fursa Mpya za Kilimo, Ufugaji na Uvuvi ni kuanzia tarehe 1 hadi 8 Agosti 2025.
“Chag...