Posted on: March 18th, 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa imesaini mkataba na ubalozi wa serikali ya Japan wa mradi wa ujenzi wa Maabara ya sayansi shule ya sekondari Kassim Majaliwa.
Serikali ya Japan imetoa shiling milli...
Posted on: March 16th, 2019
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakandarasi wanaojenga majengo mbalimbali nchini yakiwemo na ya Serikali wahakikishe wanazingatia viwango na waache kulipua kazi.
Hata hivyo, Waziri M...
Posted on: March 11th, 2019
Katibu Tawala Msaidizi anayeshughulikia masuala ya Elimu Kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi Ndg. Vicent Kayombo ameitaka ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa...