Posted on: August 2nd, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Evodi Mmanda amewapongeza wajasiliamali wa Ruangwa kwa kuleta bidhaa mbalimbali na kwa uwingi katika banda la Wilaya ya Ruangwa.
Amesema hayo leo tarehe 2/08/2019 waka...
Posted on: July 24th, 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa imetoa shilingi millioni 61 kwa ajili ya mikopo ya vijana, wanawake na walemavu kwa vikundi 28 vilivyopo Wilayani humo.
Hayo yamesemwa leo 24/07/2019 na Mkuru...
Posted on: June 26th, 2019
Mkuu wa Wilaya ameagiza kuanzia tarehe 27/06/2019 mchimbaji yoyote ambaye atakuwa hana kitambulisho hatoruhusiwa kwenda mgodini kufanya shughuli za uchimbaji.
Pia amepiga marufuku wazururaji ...