Posted on: June 26th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe Hashim Mgandilwa ameagiza kamati ya ujenzi wa zahanati ya Namungo na kamati ya wazee kulipa mabati 28 yenye thamani ya fedha shilingi 78,4000 mpaka tarehe 10/07/201...
Posted on: June 26th, 2019
Wakulima Wilayani Ruangwa walalamikia vifungashio vya bidhaa zao vinavyoletwa na wafanyabiashara wanaokuja kununua mazao Wilayani humo.
Wamesema vifungashio hivyo vimekuwa vinawanyonya wao kw...
Posted on: June 13th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe, Hashim Mgandilwa amewataka vijana kuendeleza kuku waliopewa kwa ajili ya kufuga na shirika la Aghakani kutoka katika idadi ya 10 na kufika katika idadi kubwa zaidi...