Posted on: October 29th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Mhe. Hassan Ngoma, ameshiriki kupiga kura leo 29 Oktoba 2025 katika Kituo cha RUTESCO, Jimbo la Ruangwa, akitimiza haki yake ya kikatiba katika uchaguzi wa Rais, Mbunge na M...
Posted on: October 26th, 2025
Wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Ruangwa wameapishwa rasmi leo Oktoba 26, 2025, wakitakiwa kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, uzalendo na kufuata sheria ...
Posted on: October 24th, 2025
Mameneja na wahasibu 130 wa RUNALI kutoka Wilaya za Ruangwa, Nachingwea na Liwale wamehitimu mafunzo ya PAVU yaliyolenga kuongeza ujuzi katika usimamizi na uadilifu wa fedha za vyama vya ushirika (Amc...