Posted on: March 28th, 2024
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Ndugu George Mbesigwe ameongoza zoezi la kugawa kompyuta 25 zilizotokana na mradi wa KOICA katika shule za Msingi na Sekondari 25 zilizopo...
Posted on: March 28th, 2024
Wataalamu wa Afya ambao ni madaktari na wauguzi wa kampeni ya Mama Samia Mentorship ( Madaktari Bingwa wa Mama Samia) wametoa huduma katika kituo cha Afya Mbekenyera na hospital ya Wilaya Ruangwa.
...
Posted on: March 22nd, 2024
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo Machi 22, 2022 amezindua ripoti ya Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi ya Vijiji Wilayani Ruangwa mkoni Lindi, uzinduzi ambao umeen...