Posted on: August 25th, 2025
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ruangwa, Mwl. George Mbesigwe, leo Agosti 25 amemkabidhi fomu ya uteuzi Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Ally Bakari Njalila, katika Ofisi za...
Posted on: August 24th, 2025
Mchoraji kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Elisha Kimanzi, ameibuka mshindi wa pili katika mashindano ya uchoraji ya SHIMISEMITA 2025 yaliyofanyika leo 24 Agosti 2025 katika Ukum...
Posted on: August 23rd, 2025
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ruangwa, Mwl. George Mbesigwe, amemkabidhi fomu ya uteuzi Mohamed Said Makota, mgombea wa nafasi ya Ubunge kupitia Chama cha MAKINI leo tarehe 23 Agosti 2025.
...