Mkuu wa Idara Elimu Msingi, Mwl. George Mbesigwe
KAZI ZA IDARA
Idara ya Elimu Msingi ndiyo yenye dhamana na kusimamia na kuratibu shughuli zote zinazohusu elimu Msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa. Shughuli hizo ni kama ifuatavyo:-
HUDUMA ZINAZOTOLEWA KATIKA IDARA YA ELIMU MSINGI
Idara ya Elimu Msingi inatoa huduma mbalimbali zinazohusiana na mambo ya Elimu na Taaluma kwa wanafunzi, wananchi na Walimu kwa ujumla. Vilevile Idara hii hutoa huduma kama inavyoelekezwa na Mkurugenzi wa Halmashauri wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali kwa kuzingatia miongozo, nyaraka na maelekezo mbalimbali. Baadhi ya Huduma zitolewazo ni kama ifuatavyo:
VITENGO VILIVYOPO IDARA YA ELIMU Msingi
TAALUMA
ELIMU MAALUM
ELIMU WATU WAZIMA
ELIMU TAKWIMU NA VIFAA (SLO)
UTAMADUNI NA MICHEZO
MATARAJIO YA IDARA
Idara inatarajiwa kufanya mambo yafuatayo:
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa