Mkuu wa Idara Ya Utawala
Ndg: Frank Komba
IDARA YA UTAWALA NA UTUMISHI
Idara hii ina Malengo yafuatayo katika Utoaji huduma
( b) Kuhakikisha Halmashauri inapata Watumishi bora wanaohitajika katika sekta zote za kutoa huduma kwa Wananchi ,kama vile Sekta ya Afya, Sekta ya Elimu na Sekta ya Kilimo.
Watumishi hao wawe na Maadili ya Utendaji yafuatayo:-
3 MAJUKUMU YA IDARA
( a) Kuratibu Shughuli za utawala Bora katika Halmashauri .
Idara inasimamia Ufanyikaji wa Vikao vya Kisheria katika ngazi za
Halmashauri, Kata na Vijiji.
(b) Kusimamia Ajira za Watumishi katika Halmashauri.
Idara inahakikisha Watumishi wenye Weledi, Sifa na Wenye uadilifu wanapata
nafasi ya kuajiriwa katika nafasi zenye mahitaji katika Halmashauri,
( c ) Kushughulikia Maslahi ya Watumishi ili waweze kutoa huduma bora kwa
Wananchi.
(d ) Kushughulikia Mafunzo kwa Watumishi ili kuwajengea uwezo wa kutoa
huduma bora kwa ufanisi.
(e) Kusimamia na kushughulikia masuala ya nidhamu ya Watumishi.
4: AINA ZA HUDUMA MUHIMU ZINAZOTOLEWA KWA JAMII MARA KWA MARA
( a ) kusimamia ufanyikaji wa vikao vya kisheria vya Halmashauri ya wilaya.
(b) Kusimamia Ufanyikaji wa vikao vya Halmashauri za vijiji na Mikutano mikuu ya
Vijiji kwa mujibu wa Sheria
( C) Kupokea Malalamiko na maoni mbalimbali ya Wananchi na kuyafanyia kazi.
(d) Kusimamia Utekelezaji wa Sheria ndogo katika ngazi ya Halmashauri ,,kata na
vijiji.
(e) Kuhakikisha Watumishi wanatoa huduma Bora kwa Wananchi.
5; IDADI YA WATUMISHI KWA MAJINA NA NAMBA ZAO ZA SIMU
Idara ya Utumishi na Utawala ina Watumishi 151,. Kati ya Watumishi hao, watumishi 24 wapo makao makuu na Watumishi 127 ni watendaji kata na Watendaji Vijiji ambao wapo katika kata 22 na vijiji 90 vya Halmashauri.
1. Yasinta Lupenza Simu Na: 0764722627/0673482852
6: MIONGOZO NA SERA MBALIMBALI INAYOTUMIWA NA IDARA NA VITENGO
KATIKA KUTEKELEZA MAJUKUMU YA KILA SIKU.
(ii) Sheria ya Utumishi wa Umma , Namba 8 ya Mwaka 2002.
(iv) Sheria ya Ardhi ya Vijiji Namba 5 ya Mwaka 1999
(v ) Sheria ya Mabaraza ya Kata Namba 7 ya Mwaka 1985
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa