Posted on: May 21st, 2024
Karibu Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Ruangwa, Siku ya Jumanne tarehe 28, Mei 2024.
Kauli Mbiu
"Tunza mazingira na shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa ujenzi wa Taifa endelevu"
...
Posted on: May 20th, 2024
Madiwani wa Kata mbalimbali wilayani Ruangwa wamewasilisha taarifa zao za utekelezaji katika kipindi cha robo tatu ya mwaka wa fedha 2023/2024 katika Mkutano wa baraza la Madiwani uliofanyika leo Mei ...
Posted on: May 19th, 2024
Kambi ya mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania( UMITASHUMTA) 2024 imefunguliwa rasmi leo Mei 19, 2024 katika ngazi ya Wilaya.
Ufunguzi wa kambi ya mashindano h...