(1)MRADI WA UJENZI WA ZAHANATI YA MIBURE
Mradi wa zahanati ya Mibure ulianza kwa nguvu za wananchi na Halmashauri kumalizia.
Mradi huu umekamilika na tarehe 25/01/ 2018 inafunguliwa rasmi na kuanza kutoa huduma
(2)MRADI WA UJENZI WA ZAHANATI YA MUHURU, MKUTINGOME NA NAMILEMA
Ulianza kwa nguvu za wananchi kwa lengo la kusongeza huduma za Afya karibu na wananchi na Halmashauri kusaidia kumalizia kwa kutenga kiasi cha fedha 5,000,000, fedha zilizshatolewa na Matumizi yatafanyika robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2017/2018
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa