Posted on: May 3rd, 2025
Wananchi wa Kijiji cha Mpara, Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, leo Mei 3, 2025, wamefanya zoezi la usafi wa mazingira katika barabara kuu inayoelekea kwenye mradi wa maji wa kijiji hicho, ...
Posted on: May 3rd, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa imetunukiwa tuzo maalum kwa kuongoza katika viashiria vya utekelezaji wa huduma za afya kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2025, miongoni mwa Halmashauri zote za Mkoa ...
Posted on: May 2nd, 2025
Katika kuhakikisha utekelezaji wa afua za lishe unazingatia malengo ya kitaifa na kimkakati, Wilaya ya Ruangwa imefanya kikao cha tathmini ya robo ya tatu ya mkataba wa lishe, kikiongozwa na Mkuu ...