Posted on: June 15th, 2022
Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Hassan Ngoma amewataka wananchi wa Ruangwa kushirikiana na serikali kwani ndiyo inayoshughulika na changamoto ambazo wawakilishi wao wanawasemea ili kuleta maendeleo ka...
Posted on: June 14th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mheshimiwa Hassan Ngoma ameagiza watumishi wa serikali kufanya kazi kwa kufuata kanuni na taratibu za kiutumishi.
Ameagiza hilo wakati akizungumza na wananchi na watumishi...
Posted on: June 10th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mheshimiwa Hassan Ngoma amewaagiza watendaji wa vijiji na waratibu elimu kata kuhakikisha mpaka tarehe 17/06/2022 wanafunzi ambao hawatafika shule pamoja na wazazi wao wachuk...