Posted on: April 17th, 2018
Wajumbe na viongozi wa jumuiya ya serikali za mitaa Tanzania (ALAT) Mkoa wa Lindi, wamefika WIlayani Ruangwa Mkoani humo kwa lengo la kufanya mkutano wa kujadili maendeleo ya mkoa huo na kutembe...
Posted on: April 4th, 2018
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Andrea Chezue, ameitaka Menejimeti ya Halmashauri kutoa ushirikiano wa kusimamia katika ujengaji wa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira.
Ames...
Posted on: March 15th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa,Joseph Mkirikiti, amewataka Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Mkoa wa Lindi kusimamia na kuhakikisha Maafisa Misitu wanaandaa mpango kazi na kuwasilisha taarifa ya matu...