Posted on: March 12th, 2018
Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango imeipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa kwa kubuni chanzo cha mapato ambacho ni shamba la mikorosho litakalokuwa linamilikiwa na Halmashauri hiyo.
...
Posted on: March 8th, 2018
Wanawake Wilayani Ruangwa Mkoani Lindi wametakiwa kuacha tabia ya kuwakatisha watoto ndoto zao hasa wanafunzi wa shule za msingi kwa kuwataka wajifelishe katika mitihani ya darasa la saba, kwa kigezo ...
Posted on: March 5th, 2018
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Kassim Majaliwa amesema kuwa, Serikali imetoa tsh.billioni 1.4 kwa ajili ya uboreshaji wa vituo vya afya katika wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi.
...