Posted on: March 22nd, 2017
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Ndugu Andrea Godfrey Chezue amewaaasa Walimu na kuwataka kuwa na nidhamu katika maeneo yao ya kazini na hata nje ya kazini kwani hii itasaidia ...
Posted on: March 22nd, 2017
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ruangwa Ndugu Andrea Chezue ametoa shukurani kwa Kampuni ya Uranex inayojishughulisha na uchimbaji wa madini aina ya bunyu katika Wilaya ya Ruangwa kwa msaada wa ...
Posted on: March 22nd, 2017
Na: Mwanakheri Ally
Naibu Waziri TAMISEMI Mhe. Suleimani Jafo amemtaka mkandarasi anaemiliki Kampuni ya Wanyumbani Construction anayejenga barabara za lami katika Wilaya ya Ruangwa kujenga barabara...