Posted on: October 9th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mheshimiwa Hashim Mgandilwa ameagiza vijiji vilivyopo Wilaya ya Ruangwa kutunga sheria ndogo na kuzitumia kwa kufuata taratibu.
Ameyasema hayo alipokuwa anazungumza ...
Posted on: October 8th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mheshimiwa Hashim Mgandilwa amewataka wanaume wa Ruangwa waliowaachisha masomo watoto wa kike na kuwaoa kufika kituo cha polisi kesho asubuhi.
Ametoa agizo wakati wa...
Posted on: August 11th, 2018
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu unaojengwa na halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa na amezitaka wilaya nyingine kuiga mfano huo.
Uwanja huo unaoitwa Majaliwa um...