Posted on: February 12th, 2025
Watumishi wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa wamepatiwa mafunzo ya matumizi ya Mfumo wa Watumishi Portal (e-Utendaji) unaowezesha usimamizi na upimaji wa utendaji wao wa kazi.
...
Posted on: February 6th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Mhe. Hassan Ngoma, amemtaka mkandarasi kutoka kampuni ya JANIX CONSTRUCTION CO. LTD ya Iringa, anayetekeleza mradi wa uchimbaji wa kisima cha umwagiliaji katika Ki...
Posted on: February 7th, 2025
Zaidi ya Shilingi Milioni 565,517,154/= zimetolewa kwa vikundi 136 vya Wanawake, Vijana, na Watu wenye Ulemavu kupitia mpango wa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, ha...