Posted on: December 12th, 2022
Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi amewataka wazazi na walezi mkoani lindi kuhakikisha wanatoa ushirikiano kwa walimu wa kuzuia utoro kwa wanafunzi ili waweze kusoma na kuyafikia malengo yao.
...
Posted on: December 11th, 2022
Wakulima wabnaohudumiwa na chama kikuu cha Ushirika RUNALI kinachohudumu katika wilaya za Ruangwa,Nachingwea na Liwale mkoani Lindi, wametakiwa kutumia pesa zao za korosho kununua chakula na kuhifadhi...
Posted on: November 18th, 2022
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ipo imara na itaendelea kuhakikisha huduma mbalimbali za kijamii zinawafikia wananchi ...