Posted on: February 23rd, 2021
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wazazi na walezi wahakikishe wanawapunguzia watoto majukumu ya nyumbani na kuwawezesha kupata muda wa kujisomea na kupumzika.
Ameyasema hayo hayo Februari 23,...
Posted on: February 19th, 2021
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Mohamed Muhidini amekabidhi kuku kwa vikundi vya ufugaji viwili vya Ruangwa mjini.
Amekabidhi kuku hao tarehe 19/02/2021 kwa wana...
Posted on: February 18th, 2021
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi David Silinde amekipongeza Kikundi cha Suti Ruangwa kwa kurudisha mkopo wote waliokopa kupitia mfuko wa maendeleo wa wanawake, vijana na walemavu.
Ametoa p...