Kuanzishwa
Wilaya ya Ruangwa ilianzishwa mwaka 1995 chini ya uongozi wa Rais wa awamu ya pili, Ally Hassan Mwinyi, na ikazinduliwa rasmi mwaka 1999 wakati wa uongozi wa Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa.
Wilaya hii ni miongoni mwa Wilaya zilizopo katika Mkoa wa Lindi, ikiwa umbali wa takribani kilometa 150 kutoka makao makuu ya Mkoa. Ruangwa ina jumla ya Kata 22, Vijiji 90 na Vitongoji 435.
IDADI YA WATU
Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, Wilaya inakadiriwa kuwa na jumla ya Wakazi 185,573 wakiwemo wanaume 91,469 na wanawake 94,104. Halmashauri ina jumla ya Kaya 60,931 zenye wastani wa Watu 3 kwa kila kaya.
UCHUMI WA WILAYA
Shughuli kuu za uchumi kwa wakazi wilayani ni kilimo ambacho huajiri asilimia 80 ya wakazi wote.
Mazao yanayolimwa kwa matumizi ya chakula ni;
Kwa upande wa biashara mazao yanayolimwa ni;
Shughuli nyingine za kiuchumi ni;
FURSA ZA UWEKEZAJI NI PAMOJA NA MIUNDOMBINU YA;
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa