• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Naibu Waziri Tamisemi, Suleimani Jaffo Amuagiza Mkandarasi Anayejenga Barabara WilayaniI Ruangwa Kuzingatia Ubora NaThamani Ya Fedha Za UjenziJENZI

Posted on: March 22nd, 2017

Na: Mwanakheri Ally

Naibu Waziri TAMISEMI Mhe. Suleimani Jafo amemtaka mkandarasi anaemiliki Kampuni ya Wanyumbani Construction anayejenga barabara za lami katika Wilaya ya Ruangwa kujenga barabara hizo katika kiwango cha ubora unaotakiwa na kwa muda uliopangwa.Pia amemtaka Mkadarasi huyo kutumia malighafi za ujenzi zilizokusudiwa ili kuweza kufanikiwa kuwa na barabara zenye ubora uliokusidiwa na zitakazodumu muda mrefu. 

Mhe. Jafo ameyasema hayo wakati akikagua barabara za lami zinazojengwa na mkadarasi mwenye Kampuni ya Wanyumbani Construction wakati wa ziara yake ya kikazi iliyofanyika katika Wilaya ya Ruangwa

.Aidha, Naibu Waziri huyo alimtaka Mkurungezi wa Halmshauri ya Wilaya ya Ruangwa Ndugu Andrea Chezue kuendelea kufuatilia kwa ukaribu ujenzi wa vyumba vya madarasa ya shule mpya inayojengwa Wilayani hapo ili shule hiyo iweze kuwa na ubora

“kwa kuangalia jinsi majengo yalivyo, inaonesha kabisa majengo haya yana ubora unaotakiwa hivyo hongereni sana na hongera zaidi kwa Mbunge wa Jimbo kwa msaada alioutoa na anaoendelea kuutoa katika ujenzi wa shule hiyo” alisema

Wakati huo huo Naibu Waziri Jaffo amewataka Watumishi wa Wilaya ya Ruangwa kuacha kufanya kazi kwa mazoea na kuanza kufanya kazi kwa bidii ili kufikia kasi inayotakiwa.Alisema Naibu Waziri Watumishi wa Ruangwa wanapaswa kuwa mfano wa kuingwa katika Wilaya nyingine kwani wanapaswa kufanya kazi kwa bidii ili wasimuangushe Waziri Mkuu.

“Msijibweteke na msifanye kazi kwa mazoea huu ni wakati wa kubadilika na kuwa Watu wapya kama ujabadilika basi fanya kubadilika mara moja ili uweze kuendana na kasi ya Rais John Pombe Magufuli” alisema.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe.Joseph Mkirikiti aliwataka Watumishi kuzingatia maagizo ya Naibu Waziri na kuyafanyia kazi kwani ni wajibu wa kila Mtumishi kufanya kazi kwa bidii na kufuata taratibu za kiutumishi. Aidha alimuahidi Naibu Waziri kutekeleza maagizo yote aliyoyatoa na kuyatafutia ufumbuzi kama inavyotakiwa mara moja.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA November 08, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA 872 KWA NGAZI YA JAMII HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA July 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA August 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA RUANGWA AHIMIZA USAFI NA MAZOEZI KWA AJILI YA AFYA BORA

    May 10, 2025
  • SMAUJATA YAENDESHA ELIMU DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA KWA WASICHANA RUANGWA

    May 09, 2025
  • BURIANI

    May 07, 2025
  • MHE. MAJALIWA AAINISHA MAFANIKIO MAKUBWA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO RUANGWA CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    May 03, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa