Ruangwa tuungane kuadhimisha Siku ya Lishe Kitaifa 2025 kwa kauli mbiu isemayo “Afya ni mtaji wako, zingatia unachokula” tukutane Hospitali ya Wilaya kuanzia tarehe 17–21 Novemba, saa 3:00 asubuhi, kupata elimu ya lishe, vipimo, matone ya Vitamini A, dawa za minyoo pamoja na maonesho ya mapishi ya lishe kwa watoto.
Njoo tushirikiane kulinda afya zetu na mustakabali wa kizazi chetu, kwa pamoja.
#LisheNiNguvu #AfyaKwanza #Ruangwa2025
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa