Afisa Elimu Awali na Msingi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Mwl. George Mbesigwe anawatakia kila la heri darasa la Saba wote wanaotarajia kufanya Mtihani wa Taifa kuanzia kesho tarehe 10 hadi 11 Septemba 2025. Mungu awatangulie
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa