• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

HOFU YA JANGA LA NJAA WAKULIMA WATAHADHARISHWA RUANGWA

Posted on: December 11th, 2022

Wakulima wabnaohudumiwa na chama kikuu cha Ushirika RUNALI kinachohudumu katika wilaya za Ruangwa,Nachingwea na Liwale mkoani Lindi, wametakiwa kutumia pesa zao za korosho kununua chakula na kuhifadhi kutokna na uwapo wa dalili ya janga la njaa lililosabishwa na ukame kwa baadhi ya maeneo ya mkoa huo kutozalisha mazo ya chakula msimu huu.

Hatua hiyo inakuja kufuatia mnada wa 8 wa chama kikuu RUNALI uliofanyika disemba 11,2022 katika Kijiji cha mbecha wilayani Ruangwa mkoani Lindi, ambapo makampuni 19 yalijitokeza kutangaza bei zao kwa lengo la kununua zao hilo ambapo jumla ya Kilogramu milioni tatu laki nne na themanini na sita elfu mia nane na thelathini, zimeuzwa kwa bei juu ya shilingi 1945 kwa kilo huku ya bei chini ikiwa ni 1850.

Mikidadi mbute ni Makamo mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, akiwa katika mnawa nane wa zao la Korosho uliondeshwa katika Kijiji cha mbecha wilayani Ruangwa akatumia wasaa huo kuwaasa wakulima kuzingatia matumizi mazuri ya fedha wanazopata kutokana na uuzaji wa korosho hasa kununua chakula kutokana na uwapo wa uhaba wa chakula unaonekana.

"Tunakwenda katika kipindi kigumu na kwa mwaka huu kuna uhaba wa chakula niwaombe wakulima wenzangu tujitahidi fedha tunazopata kutokana na kuuza korosho tukanunua chakula kitusaidie wakati pia tukijiandaa kuingia kuanza uzalishaji wa mazao msimu unaokuja" alisema mbute.

Miongoni mwa wakulima waliohudhuria katika mnada huo wakiwamo Christopher Ibrahim, Zainabu Mponda na Nurudini musa, Pamoja na kuridhia bei katika manada huo wamewaomba wanunuzi kuwahisha malipo ya wakulima huku wakisisitiza baadhi ya bidhaa nazo zipungue bei madukani ili waweze kukidhi.

"wanunuzi hao watulipe kwa wakati lakini pia serikali iangalie namna ya kutusaidia kwa wmakani bei ipande na vile vile waone namna ya kuthibiti mfumuko wa bei madukani maana pesa hii tukipata madukana zinaonekana kidogo kupata mahitaji yanayotosheleza kutokana na mfumuko wa beo" alisisitiza zainabu ambae ni mkulima wa kijiji cha mbecha wilayani Ruangwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA November 08, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA 872 KWA NGAZI YA JAMII HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA July 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA August 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA RUANGWA AHIMIZA USAFI NA MAZOEZI KWA AJILI YA AFYA BORA

    May 10, 2025
  • SMAUJATA YAENDESHA ELIMU DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA KWA WASICHANA RUANGWA

    May 09, 2025
  • BURIANI

    May 07, 2025
  • MHE. MAJALIWA AAINISHA MAFANIKIO MAKUBWA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO RUANGWA CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    May 03, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa