• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

DC Ruangwa ,Kutungwa sheria ndogo kuwa suluhisho la migogoro

Posted on: October 9th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mheshimiwa Hashim Mgandilwa ameagiza vijiji vilivyopo  Wilaya ya Ruangwa kutunga sheria ndogo na kuzitumia kwa kufuata taratibu.

Ameyasema hayo alipokuwa anazungumza na wanakijiji wa kata ya matambalale alipofanya ziara yake ya kikazi Leo 09/10/2018 katika vijiji vinne ambavyo ni Nandandala, Namkatila, Matambalale kusini, Matambalale kasikazini na

Ameagiza hivyo kutokana na  kero  iliyotajwa na wananchi wa Wilaya hiyo ya kuvamiwa kwa wafugaji na kufanyiwa uharibifu wa mazao katika mashamba yao.

Mkuu wa Wilaya amesema kila mtanzania anahaki ya kuishi katika eneo lolote lilipo ndani ya Tanzania Ila anapaswa kufuata sheria na taratibu za eneo husika.

"Mimi simkatazi mtu kuhamia ndani ya Wilaya ya Ruangwa ila unaehamia anapaswa kufuata sheria za eneo husika usitake kuhamia eneo la watu alafu ukajidai wewe mjuaji na kudharau serikali ya kijiji" amesema Mgandilwa

Aidha mheshimiwa amesema hatomvumilia mfugaji anaepeleka mifugo yake katika mashamba ya watu na akalisha mifugo hiyo nikipata kesi kama hiyo nitakushughulikia.

"Nakuanzia kusimamia hilo kila mfugaji akaripoti katika serikali ya kijiji atoe taarifa zake zote zitakazoitajika na ikitokea kijiji kimejaa ukiambiwa hautopokelewa uondoke Mara moja mkatafute eneo jingine na huo ndiyo uwe utaratibu wa kila mgeni anaehamia.

"Serikali ya kijiji ni lazima iwe na sheria ndogo itakayowaongoza kufanya maamuzi na kufuata taratibu za kisheria mkiwa na sheria ndogo hakuna mtu atakae wasumbua mkitaka kumchukulia hatua kwani mtakuwa mnasimamia sheria" amesema Mgandilwa

Naye mfugaji Shoo Bahaini alikiri kuwepo na uharibifu na mazao ya wakulima yanasababishwa na kitendo cha mfugaji kulisha ng'ombe zake katika mashamba ya watu yenye mazao.

Pia Shoo alisema si kila mfugaji ni mkorofi ni watu wachache wanaowaharibia jina  hivyo aliwaomba wakulima kuangalia chapa ya ng'ombe atakayomkuta anakula mazao yake alafu akashitaki sehemu husika.

Amesema mfugaji shoo sisi tunaipenda Ruangwa na tunania ya kuishi kwa amani Ruangwa tuko tayari kushirikiana na wakulima wanaoharibiwa mazao yao na wafugaji ambao si waaminifu tunataka kuwe na amani kati ya mfugaji na mkulima.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA November 08, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA 872 KWA NGAZI YA JAMII HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA July 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA August 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA RUANGWA AHIMIZA USAFI NA MAZOEZI KWA AJILI YA AFYA BORA

    May 10, 2025
  • SMAUJATA YAENDESHA ELIMU DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA KWA WASICHANA RUANGWA

    May 09, 2025
  • BURIANI

    May 07, 2025
  • MHE. MAJALIWA AAINISHA MAFANIKIO MAKUBWA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO RUANGWA CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    May 03, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa