• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA WILAYA YA RUANGWA YAFANYIKA LEO

Posted on: February 2nd, 2026

Maadhimisho ya Siku ya Sheria Wilaya ya Ruangwa yamefanyika leo tarehe 02 katika Ukumbi wa Mahakama ya Wilaya ya Ruangwa, yakihusisha wadau mbalimbali wa sheria, viongozi wa serikali, pamoja na wananchi wa wilaya hiyo.


Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma, ambaye alisisitiza umuhimu wa Mahakama kama muhimili muhimu katika ustawi wa jamii, maendeleo ya kiuchumi ya nchi na kukuza uwekezaji.


Akizungumza wakati wa maadhimisho hayo, Mheshimiwa Ngoma alisema kuwa Mahakama ina nafasi kubwa katika kudumisha haki, amani na utulivu katika jamii, jambo ambalo ni msingi muhimu wa maendeleo endelevu. Alibainisha kuwa uwepo wa mifumo madhubuti ya haki huongeza imani ya wananchi na wawekezaji, hivyo kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika ngazi ya wilaya na taifa kwa ujumla.


“Mhimili wa Mahakama ni nguzo muhimu katika ustawi wa jamii na maendeleo ya nchi. Bila haki na usawa, hakuna maendeleo ya kweli yanayoweza kupatikana,” alisema Mheshimiwa Ngoma.


Aidha, aliwataka wananchi kuendelea kuitumia Mahakama kama chombo halali cha kutatua migogoro yao, badala ya kujichukulia sheria mkononi, huku akiwahimiza watumishi wa Mahakama kuendelea kutoa huduma kwa uadilifu, uwazi na kwa kuzingatia misingi ya haki.


Maadhimisho ya Siku ya Sheria hufanyika kila mwaka nchini kwa lengo la kutathmini utekelezaji wa majukumu ya Mahakama, kuimarisha uelewa wa wananchi kuhusu haki zao za kisheria, pamoja na kuhimiza mshikamano kati ya Mahakama na jamii.

Matangazo

  • FOMU YA USAJILI WA WAANDAAJI WA MAUDHUI MTANDAONI February 02, 2026
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI April 25, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III August 09, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA WILAYA YA RUANGWA YAFANYIKA LEO

    February 02, 2026
  • RUANGWA YASHIKA NAFASI YA KWANZA MKOA WA LINDI MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2025

    January 18, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI RUANGWA LAJADILI TAARIFA ZA ROBO YA PILI 2025/2026

    January 29, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI RUANGWA LAJADILI TAARIFA ZA MAENDELEO YA KATA

    January 28, 2026
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)
  • Watumishi Portal

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa