• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

IDARA YA MAENDELEO YA JAMII YAGAWA KOMPUTA MPAKATO KWA MAAFISA MAENDELEO RUANGWA

Posted on: February 19th, 2026

Idara ya Maendeleo ya Jamii ya Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa imegawa komputa mpakato (laptop) kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii wote ili kuimarisha matumizi ya TEHAMA na kuongeza ufanisi wa utoaji huduma kwa wananchi, katika hafla iliyofanyika leo Februari 18, 2026 kwenye bwalo la Shule ya Sekondari ya Wasichana Ruangwa, .

Vifaa hivyo vimekabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Mhe. Hassan Ngoma, kwa kushirikiana na Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, Ndg. Rashid Namkulala.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, mhe. Ngoma amesema hatua hiyo ni sehemu ya juhudi za serikali kuimarisha utendaji kazi kwa njia za kidigitali, akieleza kuwa komputa hizo zitasaidia kuongeza kasi ya ukusanyaji wa takwimu, ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo na utoaji wa taarifa kwa wakati.

Kwa upande wake, Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Ndg. Namkulala amewataka maafisa waliopokea komputa mpakato kuzitumia kwa uadilifu na weledi, kwa kuzingatia maadili ya utumishi wa umma, ili ziwe na matokeo chanya kwa jamii.

Baadhi ya Maafisa Maendeleo ya Jamii walioshiriki hafla hiyo wametoa shukrani kwa uongozi wa Wilaya na kuahidi kutumia vifaa hivyo ipasavyo kuboresha utekelezaji wa majukumu yao katika ngazi ya kata.

Ugawaji wa komputa mpakato ni sehemu ya mkakati wa kuharakisha mabadiliko ya kidigitali katika utoaji wa huduma na usimamizi wa shughuli za maendeleo wilayani humo.

Matangazo

  • NAFASI ZA KUJITOLEA HALMSHAURI YA WILAYA YA RUANGWA February 13, 2026
  • FOMU YA USAJILI WA WAANDAAJI WA MAUDHUI MTANDAONI February 02, 2026
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI April 25, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • IDARA YA MAENDELEO YA JAMII YAGAWA KOMPUTA MPAKATO KWA MAAFISA MAENDELEO RUANGWA

    February 19, 2026
  • RUANGWA YATOA ZAIDI YA TSH MILIONI 420 YA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI (10) KWA MAKUNDI MAALUM

    February 19, 2026
  • NGUVU YA HAZINA YA MADINI INAYOBADILI HATIMA YA WANARUANGWA

    February 11, 2026
  • ASHALONGO FC VS KIBWANA FARM FC, HAKUNA MBABE

    February 08, 2026
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)
  • Watumishi Portal

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa