Waheshimiwa Madiwani wa kamati ya Elimu, Afya na Maji wakiwa wanakagua mradi wa Shule inayojengwa katika kijiji cha Manokwe
Mradi wa vyumba vya madarasa katika Shule ya Sekondari Mbekenyera ukiwa umekamilika uliotembelewa na wa Waheshimiwa Madiwani
Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya Elimu, Afya na Maji akiwa anaongoza msafara wa madiwani na wajumbe wa kamati hiyo wakieleekea kukagua mradi wa Maabara
Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Mbekenyera Mikidadi Mbule akiwa anatoa maelezo ya mradi wa ujenzi ya wodi ya akina Mama ulipofikia kwa wanakamati wa Elimu Afya na Maji.(kulia)Kaimu Mnganga Mkuu wa Wilaya Peter Mnyalu
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa