Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Ndugu Frank Fabian Chonya, anawatangazia watumishi na wananchi wote wa Wilaya ya Ruangwa kushiriki katika zoezi la usafi wa mazingira litakalofanyika kesho, tarehe 05 Desemba 2024, kuanzia saa 12:00 asubuhi hadi saa 2:00 asubuhi, zoezi hili ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 63 ya sherehe za uhuru wa Tanzania bara.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa