Daftari la awali litawekwa wazi kuanzia leo, tarehe 13 Mei 2025, na litabandikwa katika vituo vilivyotumika kwa ajili ya kujiandikisha. Hata hivyo, zoezi la kujiandikisha, kuhakiki, kuweka pingamizi na kuboresha taarifa litaanza rasmi tarehe 16 Mei 2025.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa