Wananchi wote mnakumbushwa kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaautakaofanyika kesho tarehe 27 Novemba 2024.
Hakikisha unatumia haki yako ya kikatiba kwa kupiga kura ili kuleta maendeleo katika jamii yako.
“Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi. Jitokeze kushiriki Uchaguzi!”
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa