• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA YAPOKEA MAGARI MAWILI

Posted on: February 7th, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa imepokea magari mawili February 7, 2024  aina ya Toyota Land Cruiser ambayo itatumika kama Ambulance katika vituo vya Afya  ikiwemo kituo cha Afya Narungombe, Mbwenkuru pamoja na Mbuyuni  na Toyota Prado itakayotumika kama usafiri wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa yaliyokabidhiwa na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan.


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Ndugu Frank Fabian Chonya amemshukuru  Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.


Aidha,ametoa shukrani zake za dhati kwa Mbunge wa jimbo la Ruangwa Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe. Hassan Ngoma kwa upendo mkubwa wanaouonesha kwa wananchi wa Ruangwa na ushirikiano wao wa karibu sana na viongozi wengine wa  Halmashauri  ya Wilaya ya Ruangwa.


Kwa upande mwingine, Ndugu Chonya  ametoa rai kwa Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa kuyatumia vyema magari hayo kwa kutoa huduma kwa jamii ikiwa ni pamoja na usimamizi wa miradi mbalimbali vijijini na kuacha kusingizia uhaba wa usafiri na kusisitiza magari hayo yatumike katika kazi rasmi zinazohusu Halmashauri tu na si vinginevyo halikadharika kuyatunza  vizuri magari hayo  ili yaweze kudumu kwa muda mrefu huku yakiiletea maendeleo chanya Halmashauri hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA November 08, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA 872 KWA NGAZI YA JAMII HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA July 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA August 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • BURIANI

    May 07, 2025
  • MHE. MAJALIWA AAINISHA MAFANIKIO MAKUBWA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO RUANGWA CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    May 03, 2025
  • WANANCHI WA KIJIJI CHA MPARA WAFANYA USAFI KUJIANDAA NA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU

    May 03, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA YATUNUKIWA TUZO KWA KUONGOZA KATIKA VIASHIRIA VYA AFYA MKOA WA LINDI

    May 03, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa