Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa unahimiza wananchi kushiriki kikamilifu katika kutoa maoni yao kwa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya Mwaka 2050.
Ushiriki wenu ni muhimu katika kujenga maendeleo endelevu kwa taifa letu. Kila maoni yanahesabika, na ni jukumu letu sote kuhakikisha tunachangia mustakabali bora wa nchi yetu.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa