• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

CHIKONGWE AMSHUKURU WAZIRI MKUU KWA MCHANGO WA MAENDELEO RUANGWA

Posted on: June 17th, 2025

Kwa niaba ya Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Mhe. Andrew Chikongwe ametumia kikao cha Baraza Maalum la kujadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kutoa shukrani kwa viongozi mbalimbali walioshirikiana nao katika kipindi chao cha uongozi kinachotarajiwa kufikia ukomo Juni 20, 2025.


Katika hotuba yake, leo tarehe 17 Juni, 2025 Mhe. Chikongwe ametoa shukrani za pekee kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Mhe. Kassim Majaliwa, kwa uongozi wake thabiti na mchango mkubwa katika maendeleo ya Halmashauri ya Ruangwa. Lakini pia amemshukru Mhe Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuruhusu pesa nyingi zije kufanya maendeleo Ruangwa.


Aidha, ameeleza kuwa mafanikio yaliyopatikana yamechangiwa na ushirikiano wa karibu kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Zainab Telack; Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Mhe. Hassan Ngoma; Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Ndugu Frank Fabian Chonya pamoja na Wakuu wa Idara na Watumishi wa Halmashauri hiyo.


Vilevile, amesisitiza kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na wataalamu umekuwa nguzo muhimu katika kuimarisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo na utoaji wa huduma bora kwa wananchi wa Ruangwa.


Kwa upande mwingine, Katibu Tawala wa Wilaya ya Ruangwa, Mhandisi Zuhura Rashid, ametumia nafasi hiyo kuwapongeza Waheshimiwa Madiwani kwa kumaliza kipindi chao cha uongozi salama na kuwatakia mafanikio mema katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.


Zaidi ya hayo, amebainisha kuwa ushirikiano uliokuwepo kati ya Madiwani na watendaji wa Halmashauri umechangia kwa kiasi kikubwa mafanikio ya taasisi hiyo katika nyanja mbalimbali.

Matangazo

  • NAFASI ZA KUJITOLEA HALMSHAURI YA WILAYA YA RUANGWA February 13, 2026
  • FOMU YA USAJILI WA WAANDAAJI WA MAUDHUI MTANDAONI February 02, 2026
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI April 25, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • NGUVU YA HAZINA YA MADINI INAYOBADILI HATIMA YA WANARUANGWA

    February 11, 2026
  • NGUVU YA HAZINA YA MADINI INAYOBADILI HATIMA YA WANARUANGWA

    February 11, 2026
  • ASHALONGO FC VS KIBWANA FARM FC, HAKUNA MBABE

    February 08, 2026
  • RAS LINDI AWAHIMIZA MAAFISA HABARI KUIMARISHA UHUSIANO NA VYOMBO VYA HABARI

    February 05, 2026
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)
  • Watumishi Portal

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa