• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

NJAA YA HOFIWA MIEZI 2 IJAYO RUANGWA KUTOKANA NA ULIMAJI WA MAZAO YA BIASHARA

Posted on: October 17th, 2022

.Watendaji wa kata na vijiji wilaya ya ruangwa wamehofia Hali kuwepo Kwa njaa katika miezi miwili ijayo katika kata zao na vijiji Kwa kutolima mazao ya chakula na kulima tu mazao ya biashara huku wananchi wakitegemea kununua vyakula.

Watendajiwamebainisha hayo  katika kikao Kazi kilichofanyika Leo tarehe17 October 22 katika ukumbi wa mkuu wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi kilichojumuisha wakuu wa idara kamati ya ulinzi na usalamavakiwemo  mkuu wa wilaya ya nachingwea ambae amekaimu ukuu wa wilaya ya ruangwa Ndg. Hashmu Komba.

Wakizungumza Kwa nyakati tofauti tofauti Watendaji hao akiwemo Mtendaji wa kata ya nanganga Said Ngitu amesema Uzalishaji wa mazao ya chakula Hali sio nzuri kwani wao wanalima mazao ya biashara hivyo wakifeli hapo kwenye chakula hufeli zaidi huku akibainisha Hali ya hewa huchangia wakulima kutolima mazao ya chakula.

Naye Mohamed Mapanje Mtendaji kata Nkowe amebainisha Chakula Kwa ujumla wake Hali ni tete hivyo baada ya miezi miwili inaweza Kua mbaya kutokana na Hali ya uzalishaji wa mazao ya  biashara lakini pia Hali ya hewa iliyopo na mfumoko wa bei wa vyakula madukani.


Awali akitoa taarifa ya Hali ya chakula Kwa niaba ya DYCO afisa kilimo Mawazo Mkolasi amebainisha kuwa zaidi ya 90% wakazi wa Ruangwa ni wakulima hivyo  Hali ya chakula hadi kufika December ni toshelezi lakini Kwa mwezi kuanzia January itabidi kununua kutoka maeneo mengine.Hata hivyo DC Komba ameomba kuazimia  kufanyika kikao cha maafisa kilimo kata na vijiji ili kuandaa mikakati ya kitu gani kifanyike kulingana na maeneo ya Ruangwa na Hali ya hewa ilivyo"Naomba DAYCO katika hicho kikao kinachofuata uje na ramani ya kilimo ya wilaya ili kujua Hali ya hewa,aridhi ya eneo husika na mje na mikakati nini kifanyike”Amesema Komba

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA November 08, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA 872 KWA NGAZI YA JAMII HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA July 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA August 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA 27 MEI 2025 May 27, 2025
  • Ona zote

Habari mpya

  • ZIMA MOTO WAENDESHA MAFUNZO YA TAHADHARI YA MAJANGA KWA WATUMISHI RUANGWA

    July 15, 2025
  • MAAFISA MIFUGO RUANGWA WAPATIWA MAFUNZO KUELEKEA ZOEZI LA UCHANJAJI WA MIFUGO

    July 11, 2025
  • MAAFISA MIFUGO RUANGWA WAPATIWA MAFUNZO KUELEKEA ZOEZI LA UCHANJAJI WA MIFUGO

    July 11, 2025
  • PONGEZI

    July 11, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)
  • Watumishi Portal

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa