Hawa mchopa sec hadi kufikia jioni ya leo tr 4.12.2021
Hatua ya ujenzi wa kituo shikizi cha Namitende hadi kufikia leo 04/12/2021
Kituo shikizi Nachiulaga. Kazi za leo 04/12/2031 kumwaga Zege kwenye Lenta
Zoezi la kuweka zege linaendelea Namtamba shule ya Msingi hatua ya 04/12/2021
Liuguru sekondari hatua ya 04/12/2021
Ruangwa High school ! Ukamilishaji wa plasta kwenye msingi 04/12/2021
Upigaji plasta na upauaji ukiendelea mbekenyera sekondari 04/12/2021
Nkowe ss madarasa matatu na ofisi hatua ya 04/12/2021
LIKUNJA SEKONDARI MRADI WA UJENZI WA MADARASA MATATU NA OFISI. HATUA ILIYOFIKIA : UMWAGAJI WA JAMVI NA UMWAGAJI WA ZEGE LA RENTA UNAENDELEA. 04/12/2021
Chumba kimoja cha darasa Makanjiro Sekondari hatua ya kupiga kenchi 04/12/2021
Kazi ya zege la mkanda shule ya Msingi mbugu madarasa 4
Ujenzi wa kuta za jengo umeanza Leo kwa jengo la madarasa mawili na ofic na jengo la pili la madarasa mawili na ofic msingi umekamilika *chiwangala shule ya Msingi 04/12/2021
CHIENJERE SEC, UJENZI WA VYUMBA VITATU VYA MADARASA NA OFISI (UVIKO 19), HATUA ILIYOFIKIWA NI UKAMILISHAJI WA ZEGE LA LINTER 04/12/2021
MRADI WA MADARASA 3 NA OFISI 1. CHUNYU SEKONDARI. KWA SASA MRADI UPO HATUA YA KUMWAGA ZEGE YA LINTA. 04/12/2021
MATAMBARALE SEKONDARY Ya kupiga kenchi 04/12/2021
Lucas Maria hatua ya upigaji kenchi 04/12/2021
Shule Shikizi Ligunje hatua ya upandishaji tofali 04/12/2021
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa