Hatua ya upimaji wa eneo la ujenzi
Hatua ya kuanza kuchimba msingi
Muendelezo wa uchimbaji msingi
Ukamilishaji wa uchimbaji Msingi kwa kutumia nguvu za wananchi
Hatua ya upangaji mawe katika Msingi
Hatua ya mwanzo ya kujenga msingi
Hatua ya ujazaji kifusi katika msingi
Hatua ya usukaji nondo kwa ajili ya renta ya chini
Hatua ya umwagiaji Maji katika mawe kwa maandalizi ya kumwaga zege
Hatua ya umwagaji zege
Hatua ya upandishaji tofali
Hatua ya boma
Hatua ya ufungaji mkanda ná umwagaji wa zege la juu
Hatua ya upandishaji tofali kw ajili ya kumalizia boma
Vyumba vitatu vya madarasa vikiwa hatua ya boma
Chienjere Sec kazi zinazoendelea kufanyika leo ni upigaji plasta na usukaji wa kenchi. 08/12/2021
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa